INFO:
Felix Ntongai- Mtaalamu wa Lishe: Magonjwa yanayohusiana na mtindo wa maisha sasa yamezidi kwa kiwango kikubwa yale yanayosababishwa na virusi au...
Felix Ntongai- Mtaalamu wa Lishe: Magonjwa yanayohusiana na mtindo wa maisha sasa yamezidi kwa kiwango kikubwa yale yanayosababishwa na virusi au bakteria. Mwanamke mwenye uzito yuko katika hatari ya kuzalisha kiwango kikubwa cha homoni ya oestrogen, jambo linaloweza kuongeza uwezekano wa kupata uvimbe kwenye ovari #SemaNaCitizen | Citizen TV Kenya