INFO:
TAIFA STARS: “…. naamini atabadilisha timu kwa muda mfupi” Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo kuelekea nchini Misri ambapo kitacheza mchezo wa...
TAIFA STARS: “…. naamini atabadilisha timu kwa muda mfupi”Kikosi cha Taifa Stars kimeondoka leo kuelekea nchini Misri ambapo kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa ya Kuwait Novemba 15 mwaka huu….Beki wa kushoto wa Taifa Stars, Mohamed Hussein Zimbwe Jr. ameeleza namna walivyojiandaa kuelekea mchezo huo huku akigusia aina ya ufundishaji ya Kocha Miguel Gamondi akisema ...“Ni mwalimu ambaye anapenda mchezaji ucheze…na sisi wachezaji wa Kitanzania tunapenda sana kucheza” .Mechi hii itakuwa LIVE #AzamSports1HD #TaifaStars | AzamSports